Thursday, February 20, 2014

PAUL MAKONDA “NAUNGA MKONO ONGEZEKO LA POSHO LA BUNGE LA KATIBA”


1. Laki tatu(300,000) haitoshi, na mimi nasimamia hilo hadi iongezwe hii kazi ni ngumu. watu wamekuja na wanasheria wasaidizi ili kuwasaidia na kuwashauri.
2. Malipo ya dereva.
3. Nyumba Dodoma zimejaa sana si chini ya elfu arbaini(40,000).
4. Mafuta ya gari.
5. Mtu umeacha kazi zako na familia unakaa dodoma kwa miezi miwili(2).
6. Ada za shule.
7. taarifa za watoto kuumwa. nk.
kwa kweli wakitaka watu watulize mawazo yao kwenye katiba waongeze pesa kidogo, watu wasiwe waoga na nalisema wazi.

No comments:

Post a Comment