Monday, February 24, 2014

SIKU TATU ZA CHADEMA WALIZOMPA RAIS KIKWETE ZIMEISHIA WAPI ?


Chadema kupitia kigaila walitoa siku tatu kwa rais afute kauli yake kuwa uvumilivu kwa wanaccm sasa basi. Leo ni zaidi ya wiki moja, aona kimya. Vipi, wamesahau? Hawana la kumfanya? Wamesalimu amri? Wamemuogopa? Tunaomba mrejesho wa kinachoendelea

No comments:

Post a Comment