Wednesday, July 3, 2013

LIMO YA OBAMA INAWEZA KWENDA 97KM TU KWA SAA AT MAXIMUM


Walioona msafara wa obama wataona namna msafara ulipita kwa speed ya kawaida sana tofauti na ile speed tuliyozoea anapopita JK, our president normally huwa ana cruise at an average of 120kmh.

Ile speed ikanifanya nitafute habari zaidi, niliyoyaona yamenishangaza, kumbe


  1. Maximum speed ya limo ya obama ni 60mph tu, sawasawa na kilimita kama 97 kwa saa. hii gari haina ujanja wa kwenda hata 100km kwa saa, hata boda boda inaweza kwenda speed kuliko hii gari
  2. ina uzito unaokadiria kukaribia tani 9
  3. matumizi ya mafuta ni 8mpg, kwa lugha ingine inahitahi lita 35.31 ili kutembea kilomita 100, hii ni sawa na lita 1 kwa kila kilomita 2.8
  4. vioo vyote havifunguki isipokua pale kwa dereva kwa mbele. gari iko 100% sealed
  5. Vioo vya dirishani vina thickness ya inchi 5 wakati milango ni nchi 8.
  6. kutokana na unene wa madirisha na milango, obama hawezi kusikia chochote kinachoendelea nnje, spika zimewekwa ili kunasa sauti za nje
  7. gari ina night vision kamera zinazomuwezesha dereva kuendesha usiku bila hata kuwasha taa

No comments:

Post a Comment