Tuesday, June 18, 2013

MOTO WAZUA KIZAA ZAA KARIAKOO JIJINI DAR

Moto ukiunguza paa la baa hiyo.
Hali ikiwa tete.
Shoti ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.…
Moto ukiunguza paa la baa hiyo.
Hali ikiwa tete.
Shoti ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.
Zimamoto wakiwa kazini.
Tanesco wakikata umeme.
Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo.
Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu la Kariakoo leo asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyotokea jirani na baa hiyo.

No comments:

Post a Comment