Wednesday, June 12, 2013

DANCE 100% (01:00Usiku): Hii hapa tena, Imerudi kwa kasi ya KUOGOPESHA!!!!

Leo hii, Unapewa nafasi ya kuona mchakato mzima ulivyoakuwa Dance 100% 2012 >>> Kuanzia Usahili hadi kupatikana kwa washindi >>> Crew ya T African Dancers.

Washiriki wote mwaka jana watakuwepo kwenye hii, Sio ya kukosa Jipange!!!! maoni hapa.

No comments:

Post a Comment