Thursday, June 13, 2013

Lwakatare Aitisha Press Conference Makao Makuu Chadema.

Leo majira saa 4 asubuhi bwana Lwakatare ambae ni mkurugenzi wa ulinzi na usalama CHADEMA atakuwa na mazungumzo na waandishi wa habari, ajenda ikiwa kuhusiana na sakata zima la kesi yake...Tunasubiri kwa hamu kusikia atakacho sema.

No comments:

Post a Comment