Thursday, June 20, 2013

MABONDIA JUMA FUNDI NA NASIBU RAMADHAN KUZIPIGA IDD PILI

Bondia Juma Fundi (kushoto) akitunishiana misuli na Nasibu Ramadhan wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Pili wengine kushoto ni mratibu Duni Lianjara, Promota wa Mpambano huo Side Mkigoma na kocha wa Nasibu, Christpher Mzazi.

Nasibu Ramadhan akisaini mkataba.…
Bondia Juma Fundi (kushoto) akitunishiana misuli na Nasibu Ramadhan wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Pili wengine kushoto ni mratibu Duni Lianjara, Promota wa Mpambano huo Side Mkigoma na kocha wa Nasibu, Christpher Mzazi.
Nasibu Ramadhan akisaini mkataba.
Promota wa mpambano wa masumbwi Side Mkigoma (katikati) akiwainua mikono juu mbondia Juma Fundi (kushoto) na Nasibu Ramadhan.

No comments:

Post a Comment