Vikosi vya usalama vimewekwa
katika hali ya tahadhari wakati ambapo mikutano miwili ya makundi hasimu
nchini Misri ikitarajiwa kufanyika ili kuadhimisha miaka mitatau ya
kuondolewa madarakati kwa rais wa zamani Hosni Mubarak.
Wafuasi wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Mohammed
Morsi pamoja na wale wa serikali inayoungwa mkono na jeshi wanatarajiwa
kufanya maandamano katika miji mikubwa nchini humo.Vuguvugu la Muslim Brotherhood limeshutumu milipuko hiyo lakini wapinzani wake wamelikosoa kundi kwa kuendeleza mashambulizi kama hayo.
Inaarifia wapiganaji wamezidisha mashambulizi dhidi ya utawala wa Misri, huku milipuko kadhaa ikisikika katika mji mkuu Cairo
Mashambulizi hayo yanatokea katika mkesha wa kuadhimisha mwaka wa tatu tangu kuondolewa mamlakani kwa aliyekuwa Rais Hosni Mubarak.
No comments:
Post a Comment