Msanii wa muziki wa kizazi kipya H Baba amewalalamikia wezi waliomwibia vitu kwenye gari lake kwa kusambaza moja kati ya nyimbo zake ambazo bado hajawahi kuziachia, H Baba ametoa ombi kwa wezi hao warudishe flash disk yake tu na vitu vingine wachukue.
No comments:
Post a Comment