-
Leo
asubuhi pande za Kinondoni Vijana Social Hall kulikua wasanii wa fani
mbalimbali walikusanyika kuzindua kampeni ya kitaifa kuishinikiza
serikali kuwatambua wasanii.
Kuna maandamano ya amani pia yatafanyika sambamba na kumpongeza rais Jakaya Kikwete kwa kumteua mmoja wao ashiriki kwenye bunge la katiba
No comments:
Post a Comment