NYALANDU AMTIMUA MKURUGENZI WA IDARA YA WANYAMA PORI
a
Waziri wa Maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu, amemtimua Mkurugenzi wa
Idara ya Wanyamapori, Profesa Songorwa; kwa utendaji kazi mbovu na
kushindwa kudhibiti vitendo vya ujangili. Amekaa kwenye nafasi hiyo kwa
muda usiozidi mwaka mmoja akiwa amechukua nafasi ya Obeid Mbangwa. Hii
Wizara ni mwiba wenye sumu!
No comments:
Post a Comment