Monday, May 13, 2013

Hakimu wa kesi ya Lwakatare yupo likizo, dhamana imeshindikana kutolewa



Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili.

Hivyo basi mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kupiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 mwezi huu.

Lakini mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana hiyo japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.

MY TAKE:
Mfanyie mwenzako yale yote ambayo ungependa kufanyiwa na watu wengine. "WHAT GOES AROUND COMES AROUND".

No comments:

Post a Comment