Friday, April 5, 2013

AVRIL AJIFUNZA KUWA PUSHA WA MADAWA YA KULEVYA


Avril kwa sasa amegeukia upande wa kuigiza, ambapo baadae mwaka huu ataonekana kupitia series inayoitwa "Noose of Gold" itakayokuwa ikiruka kupitia channel ya DSTV. Ameongea na mtandao wa Ghaflais, na kusema kuwa bado wanarekodi na sasa wamefikia season ya 5, ambapo anaigiza kama pusha wa madawa ya kulevya. "sijawahi kabisa kudili na madawa ya kulevya, najifunza ulimwengu huo kwa sasa ili nifanye vizuri katika series hiyo." amesema Avril.

No comments:

Post a Comment