Thursday, April 18, 2013

Diwani wa CCM anayetuhumiwa kwa mauaji ya vongozi wa TLP atiwa mbaroni...!!

Click image for larger version. 

Name: kaudo.jpg 
Views: 0 
Size: 69.5 KB 
ID: 90303Diwani wa CCM Kata ya Mabila Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera Christian Songambele amesomewa mashitaka ya mauaji ya watu wawili ktk mahakama ya Wilaya ya Karagwe.Anadaiwa akiwa na wenzake wawili waliwaua Denis Damian(Mkt wa Kitongoji cha Nyakatete kupitia TLP na Katibu wake Johnbosco Damian.Nyuma yake ni ofisa wa Polisi


Click image for larger version. 

Name: SAM_5088.JPG 
Views: 0 
Size: 74.6 KB 
ID: 90304

No comments:

Post a Comment