Monday, April 15, 2013

Msanii wa Uganda “aliyewaachia” mashabiki washike nyeti zake kwa raha zao

iryn-namubiru-01

Iryn-Namubiru-00
Msanii kutoka Uganda,  Iryn Namubiru, alipokua katika tour yake USA.  Alipiga magoti wakati akitumbuiza mashabiki, kitu kilichopelekea baadhi ya washabiki kumtomasa mapaja na kinachoonekana kama kushika sehemu zake za siri. Baadhi ya watu wameripoti kuwa msanii huyo hakuonekana kukerwa na kitendo hicho . Ripoti hizo za kwamba hakukerwa na aliwaachia mashabiki waendelee kumtomasa na raha zao, hazijathibitishwa hivyo haijulikani kama zina ukweli wowote au uzushi tu

No comments:

Post a Comment