Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.
Muuguzi
wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa
Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro, baada ya kufanyiwa upasuaji wa
kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa
mama yake Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni
mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.
Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.
No comments:
Post a Comment