| Wahamiaji haramu wakiwa kituo cha polisi mkoani morogoro mara baada ya kukamatwajana wakisafirishwa |
Mmoja wa wahamiaji haramu akishushwa katika gari la mizigo lillokuwa limebeba shehena ya chokaa lililokuwa likitokea mkoa wa tanga na kukamatwa jana mkoani morogoro

No comments:
Post a Comment