Tuesday, April 9, 2013

WEMA NA KAJALA NI KIKAZI ZAIDI....



SIKU chache baada ya kumsainisha Kajala Masanja katika kampuni yake, Wema Sepetu ameweka bayana kuwa muunganiko wao utakuwa ni wa kikazi zaidi.
V
“Filamu ya Princess Sasha ndiyo tunaanza nayo, tutashutia maeneo ya nje ya Dar. Tunahitaji mandhari ya kijijini ili kuukamilisha mzigo huo,” alisema Wema.

SOURICE: Globalpublishers

No comments:

Post a Comment