STAA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kumtundika
mimba mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Salha, mkazi wa Zanzibar
ambaye anasoma katika chuo cha ITF, Tandika, jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina
lake kilichopo chuoni hapo, Mlela alidaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi
na denti huyo kwa muda mrefu ambapo mashosti wote wa Salha, walikuwa
wakimtambua kama shemeji yao hadi alipodaiwa kumpa kibendi.
“Unajua
shemeji yetu (Mlela) alikuwa anakuja sana hapa chuoni lakini baada ya
kuambiwa yule Salha ana ujauzito wake, aliruka viunzi na kusema hahitaji
mtoto, atoe mimba.
“Salha alipokataa ndipo Mlela alipoamua kukata mguu kabisa, tukawa hatumuoni,’’ kilisema chanzo hicho.
Alipotafutwa Mlela kuhusiana na ishu hiyo, alimkana mwanafunzi huyo na kusema hamtambui na wala chuo anachosoma hakijui.
“Huyo msichana simjui…

“Huyo
msichana simjui hata hicho chuo chenyewe cha Tandika sijawahi kufika
huko, kama huyo binti ana ushahidi auweke hadharani,’’ alisema Mlela
No comments:
Post a Comment