Wakati kundi la kutetea Wanawake la Ultra Violet
likisherehekea uamuzi wa kampuni ya Reebok kusitisha mkataba wake na
rapper Rick Ross kutokana na mashairi yake kuonekana yakisifia ubakaji,
baadhi ya watu walio kwenye timu ya Rick Ross wameonekana kukerwa na
uamuzi wa kampuni ya Reebok.
Japo Rick Ross mwenyewe hajaongea chochote mpaka sasa,
rapper Meek Mill ambae yuko chini ya Maybach Music ya Rozay amelianzisha
baada ya kuidiss Reebok kwa kusema lebo ya viatu vyao ni sawa na FILA,
yani lebo ya kizamani.
Hawa ni sehemu ya waliojitokeza kupinga mashairi ya Rick Ross ndio maana waliandamana na kuitaka kampuni…
Wakati kundi la kutetea Wanawake la Ultra Violet
likisherehekea uamuzi wa kampuni ya Reebok kusitisha mkataba wake na
rapper Rick Ross kutokana na mashairi yake kuonekana yakisifia ubakaji,
baadhi ya watu walio kwenye timu ya Rick Ross wameonekana kukerwa na
uamuzi wa kampuni ya Reebok.
Japo Rick Ross mwenyewe hajaongea chochote mpaka sasa,
rapper Meek Mill ambae yuko chini ya Maybach Music ya Rozay amelianzisha
baada ya kuidiss Reebok kwa kusema lebo ya viatu vyao ni sawa na FILA,
yani lebo ya kizamani.
Hawa ni sehemu ya waliojitokeza kupinga mashairi ya Rick Ross
ndio maana waliandamana na kuitaka kampuni hiyo impige chini Rozay kama
inataka biashara iendelee.

No comments:
Post a Comment