Msanii kutoka Uganda, Iryn Namubiru, alipokua katika tour yake USA.
Alipiga magoti wakati akitumbuiza mashabiki, kitu kilichopelekea baadhi
ya washabiki kumtomasa mapaja na kinachoonekana kama kushika sehemu
zake za siri. Baadhi ya watu wameripoti kuwa msanii huyo hakuonekana
kukerwa na kitendo hicho . Ripoti hizo za kwamba hakukerwa na aliwaachia
mashabiki waendelee kumtomasa na raha zao, hazijathibitishwa hivyo
haijulikani kama zina ukweli wowote au uzushi tu
No comments:
Post a Comment