Diwani wa CCM anayetuhumiwa kwa mauaji ya vongozi wa TLP atiwa mbaroni...!!
Diwani wa CCM Kata ya Mabila Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera Christian Songambele amesomewa mashitaka ya mauaji ya watu wawili ktk mahakama ya Wilaya ya Karagwe.Anadaiwa akiwa na wenzake wawili waliwaua Denis Damian(Mkt wa Kitongoji cha Nyakatete kupitia TLP na Katibu wake Johnbosco Damian.Nyuma yake ni ofisa wa Polisi![Click image for larger version.
Name: SAM_5088.JPG
Views: 0
Size: 74.6 KB
ID: 90304 Click image for larger version.
Name: SAM_5088.JPG
Views: 0
Size: 74.6 KB
ID: 90304](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_txtOOpzZ07n07kBdNTaZUDAcvQ-m1WIrMUFM_EBkJxMtYRsxxkO9zG_FG1Rh_zKkk-3MNqgxZULJF7WOcH-__2EeaoX_j5-O5811oE7wwhktzVK1eT_oWIZjKRpjg6RX5aUJ8UU0zen1gRHtHypM24ZjfK=s0-d)
No comments:
Post a Comment