Friday, April 5, 2013

DIAMOND ANYONYWA CHUCHU HADHARANI

Show hii ilikuwa ya kusisimua machoni pa watu, Baada ya
Mkali wa Bongo Flava Diamond kuwapagawisha mashabiki kisawa sawa ndipo mmoja wao akajisanua na kuelekea alipo Diamond jukwaani na kukimbilia kunyonya chuchu zake.

No comments:

Post a Comment