Sunday, October 20, 2013

Kichapo ilichopata Misri kwa Ghana

Ghana iko katika nafasi nzuri sasa ya kwenda Brazil
Ghana ilipiga hatua kubwa katika kufikia kinyang'anyiro cha kombe la dunia baada ya kuicharaza Misri mabao 6-1 katika mkondo wa mwisho wa mechi za kufunzu kwa kombe la dunia mwaka 2014 nchini Brazil.
Asamoah Gyan aliingiza bao la kwanza ambalo lilifuatiwa na lengine la mchezaji wa Misri Wael Gomaa katika lango la Ghana.

No comments:

Post a Comment