Friday, July 19, 2013

SIMBA KUKWAANA NA URA KESHO

Baadhi ya wachezaji wa Simba SC.
TIMU za Simba na URA ya Uganda zimewasili jijini Dar es Salaam tayari kabisa kwa pambano la kesho katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Pambano hilo litakuwa la kwanza kwa Simba kucheza kwenye uwanja huo tangu kumalizika kwa Ligi Kuu ya Tanzania na ikiwa imetoka katika ziara ya mafanikio ya mikoa ya Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini.

URA imewasili jijini jana ikiwa na msafara wa wachezaji 23 na viongozi sita. Baadhi ya wachezaji maarufu waliokuja na timu hiyo ni Derick Walulya, George Owino na Musa Doca.

Pambano hilo litaanza majira ya saa kumi kamili…

Pambano hilo litaanza majira ya saa kumi kamili jio

No comments:

Post a Comment