Saturday, August 24, 2013

PICHA ZA UCHI ZA MPENZI WA DIAMOND ZAVUJA....

Mwanamziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amegeuka gumzo nchini Kenya baada ya mrembo mmoja aliyejipatia jina kupitia Runinga ya KTN, Angel Maggy kutangaza penzi lao upya kwa mara nyingine.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari za burudani vya Kenya, mara baada ya Diamond kufanya shoo mbili katika Miji ya Nairobi na Mombasa nchini humo, alipogeuza kisogo kurejea Bongo ndipo ukaibuka mlipuko wa habari zilizomhusu na mrembo huyo.


Habari hizo zilieleza kuwa mara tu baada ya kutua nchini humo, Diamond alipokelewa kwa bashasha na mrembo huyo akiwa na wenzake wanne.

Ilisemekana kuwa alipokuwa akifanya shoo kwenye Ukumbi wa KICC, Nairobi siku ya kwanza, Diamond aliimba wimbo wake wa Ukimuona maalum (dedication) kwa ajili ya Angel, jambo lililomfanya mrembo huyo kuonekana ‘spesho’ miongoni mwa maelfu waliohudhuria onesho hilo.

Imeripotiwa kuwa baada ya shoo hiyo kumalizika  USIKU, Angel alionekana ‘beneti’ na Diamond wakielekea katika hoteli aliyofikia staa huyo Nairobi. 

Katika  jitihada  za  kulikoleza  penzi  lao, Angel  anadaiwa  kujipiga  akiwa  uchi  wa  mnyama  kwa  lengo  la  kumtumia  Diamond......

Bahati  nzuri  au  mbaya, picha  hizo  zimevuja  na  mtandao  huu  umefanikiwa  kuzinasa....

MSANII MANAIKI ATIWA MBARONI NA POLISI BAADA YA KUPIGA PICHA ZA UCHI NA WAREMBO MBALI MBALI NA KUZISAMBAZA



 
 Jeshi la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
 

Mwandishi wetu amefanikwa  kuzinasa  picha  za  Manaiki  akiwa chini ya ulinzi wa  polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
 
Habari za uhakika zilizonaswa  zinasema kuwa msanii huyo alikamatwa siku chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na wanawake tofauti tofauti

HATARIIII!!! VIUNGO VYA MAITI VYAUZWA MOCHWARI,MAJI YA KUOSHEA NA SANDA NAVYO DILI.


Kiganja cha binadamu.

OPARESHENI Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers bado iko mitaani ikiibua mambo, wiki hii ilitia timu Wilaya ya Kibaha, Mkoa wa Pwani kilomita chache kutoka jijini Dar es Salaam.


Safari hiyo ilifanywa baada ya kupokea ‘mashitaka’ kwamba, wafanyakazi wa mochwari moja katika hospitali kubwa mjini Kibaha wamekuwa wakiuza viungo vya binadamu.


VIUNGO VINAVYOUZWA 
Kwa mujibu wa chanzo, viungo vinavyouzwa katika mochwari hiyo ni sehemu za siri za jinsi zote, viganja, ndimi na miguu.


WALIOKUFA KWA AJALI DILI ZAIDI
Kwa mujibu wa mtoa habari huyo, viungo vya maiti za watu waliokufa kwa ajali vina dili zaidi kwa sababu havijadhoofika kama wale waliokufa kwa kuugua.
“Tena nawaambia OFM, viungo vya watu waliokufa kwa ajali ni mali sana, wanasema viungo vyao ni imara kuliko wale waliokufa kwa kuugua,” kilisema chanzo.

VINAPATIKANAJE, WATEJA WAO AKINA NANI?
Sosi akaendelea kuweka wazi kwamba, watu wanaofanya kazi mochwari huvikata viungo hivyo wakati wa kuosha miili ya marehemu na kuhifadhi kwa ajili ya wateja wao ambapo wengi ni waganga wa kienyeji.


DILI LINGINE
Mbali na ‘bidhaa’ hizo, maji yaliyooshewa maiti na sanda navyo vilitajwa kuwa ni dili kubwa kwa wafanyakazi wa mochwari.
“Halafu yale maji yanayooshewa maiti na sanda au shuka ambalo hutumika kufunikwa maiti pia ni dili kubwa sana, waganga wanachukua kwa ajili ya kwenda kufunikia kesi mbaya za watu,” alisema mtoa habari.

MAITI ZA WAKRISTO ‘ZINAONEWA’ ZAIDI

Mtoa habari akasema maiti za Wakristo ndiyo huongoza kwa kufanyiwa mchezo huo kwa vile ndugu zao huwapa kazi ya kuosha wafanyakazi na wao kusubiri nje.

Akasema kwa Waislamu ni ngumu kidogo kwani wao wakati wa maiti wao kuoshwa ndugu wawili watatu huingia kusaidia ili kwenda sawa na kanuni za uoshaji wa imani hiyo.

Mtoa habari huyo alizidi kudai kwamba, maiti nyingi za Wakristo huagwa na ndugu kwenda kaburini zikiwa na upungufu wa viungo ila kwa sababu hakuna utamaduni wa kukagua hakuna anayejua. Inatisha sana!

OFM WAINGIA MZIGONI

Baada ya kupata taarifa hizo, hivi karibuni mapaparazi makini walitia timu kwenye hospitali hiyo ambayo hupokea maiti nyingi za watu waliopata ajali katika Barabara ya Morogoro Dar es Salaam.

Walipata bahati ya kupokelewa na mfanyakazi wa mochwari ambapo baada ya salamu walijitambulisha kwa majina ya bandia, Paschal na Fanuel

Walisema  wao ni wafanyabiashara wa samaki tokea Mwanza na wanataka viungo vya wanadamu vilivyopo mochwari hapo.

Mfanyakazi huyo aliweka bayana kwamba, kuna mikono na sehemu za siri za kiume, kama wako tayari wanaweza kuuziwa. Bei ni shilingi milioni moja (1,000,000) mpaka laki mbili (200,000) kutegemea na ukubwa wa kiungo chenyewe.

Ili kudhihirisha hilo, mfanyakazi huyo alikwenda kutoa ‘sampo’ ya viungo hivyo na kuambiwa kama wapo tayari watoe mkwanja biashara ifanyike mara moja.

MAPAPARAZI WATOA AHADI, WASHTUKIWA

HATA hivyo, mapaparazi walimwambia mfanyakazi huyo kwamba kwa muda huo hawana fedha, wangerudi tena jioni na fedha ili kumaliza biashara.

Jibu hilo lilimshtua jamaa huyo na kuwaweka chini ya ulinzi huku akimnyang’anya simu mmoja wa mapaparazi hao.

Aliikagua simu hiyo na kugundua alikuwa akirekodiwa sauti hivyo akafuta sauti hiyo. Pia aliikagua simu hiyo na kubaini meseji za paparazi huyo kumtumia meseji mhariri wake akimwambia upelelezi unakwenda vizuri.

Mfanyakazi huyo alikwenda mbele zaidi kwa kuangalia namba zilizopigwa kwenye simu hiyo na kuona moja ambayo jina la aliyepigiwa lilimaliziwa na paparazi, mfano; Paschal Paparazi, jamaa akashtuka zaidi.

Kama vile haitoshi, jamaa huku presha ikiwa juu, aliingiza mkono kwenye mifuko ya suruali ya mapaparazi na kukutana na vitambulisho vyenye nembo ya Global Publishers & General Enterprises.

“Sikieni, mimi sitaki maneno na nyinyi, nawaomba muondoke eneo hili haraka sana, mmenifanya mimi ni mtoto siyo?” alisema mfanyakazi huyo. OFM iliondoka kwa mafanikio makubwa kwani ilithibitika biashara hiyo ipo.

MIJIMAMA: WANAUME WANATUPENDA SISI MABONGE




Na Waandishi Wetu
MAKUBWA! Madogo yana nafuu! Wanawake wenye maumbile makubwa wanaofanya biashara haramu ya kuuza miili yao jijini Dar, wamefunguka kwamba wanaume wamekuwa wakiwapenda kwa sababu ya ubonge wao

Mijimama hiyo ilitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati ikizungumza na paparazi wetu aliyekuwa katika oparesheni maalum ya kuhojiana nao ili kujua kinachowafanya wajihusishe na biashara hiyo inayohatarisha maisha yao.

Akizungumza na mwandishi wetu, mmoja wa wanawake hao aliyejitambulisha kwa jina moja la Zainabu anayefanya biashara hiyo maeneo ya Sinza Afrika Sana, alisema umbo lake limekuwa likiwadatisha wanaume kibao.

“Kaka si unaiona hii shepu yangu, hapa kuna mwanaume anayeweza kunipita na kwenda kwa wale vimbaumbau,” alisema Zainabu huku akimuonesha paparazi wetu wasichana wembamba waliokuwa mbele yao



Mwanamke mwingine aliyejitambulisha kwa jina la Sara Mashauzi, aliyekuwa katika mawindo ya wanaume wakware na Zainabu alisema: “Mimi nilianza haya mambo baada ya kuachana na mume wangu, sasa kila ninakopita wanaume wakiniona tu huanza kunipigia miluzi na wengine kuniita, sista… sista… hongera…, nikaamua kujiuza ili nipate kipato kwani maisha yalibana sana.”
Sara aliongeza kuwa, wanaume wengi anaotoka nao wamekuwa wakimsifia kwa umbo lake ‘pana’ na kudai kwa siku huwa hakosi shilingi 50,000 na siku nyingine anapata hadi 80,000.

Karibu wanawake wote mabonge waliozungumza na paparazi wetu maeneo ya Kinondoni, Buguruni, Manzese na Oysterbay ambako biashara hiyo imeshamiri walidai maumbo yao yamekuwa yakipendwa sana na wanaume hususan waume za watu.
Paparazi wetu alipomuuliza Sara, Zainabu na mwenzao aliyejitambulisha kwa jina la Sikitu kwamba hawaoni kama wanaharibu soko la wenzao wembamba, kama vile waliambiana jibu wakasema watajiju!



Baadhi ya madadapoa wembamba waliozungumza na paparazi wetu, waliwafungukia majimama hao na kudai wamewaharibia soko lao na kusababisha wajiuze kwa promosheni.

Gazeti hili linakemea tabia hiyo chafu na isiyofaa katika jamii na kuviomba vyombo husika kupambana na kuwasambaratisha wasichana hao. Mhariri.

TUHUMA NZITO:MAGUFULI, MWAKYEMBE, LUKUVI KUFIKISHWA KWENYE KAMATI YA MAADILI YA BUNGE



Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imesema itawafikisha kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akiwatuhumu kwa kulidanganya Bunge.

Hatua hiyo ilitangazwa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya kumhoji Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Herbert Mrango kuhusu hati ya mashaka waliyoipata kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), mwaka wa fedha 2011/2012.

Kamati hiyo ilieleza kuwa kwenye Bajeti ya mwaka huo kiasi cha Sh348,075,000,000 fedha za ndani zilizokuwa zimetengwa chini ya fungu lililotajwa kuwa ni la mradi maalumu (Special Road Construction Project) hazikutumiwa kwa malengo yaliyoelezwa bungeni.

“Ni vizuri leo uiambie kamati fedha hizi ziliombwa kwa kitu gani na zilitumika kwa jambo gani. Tunajua kwamba fedha hizi zilipunguzwa kiasi cha Sh95 bilioni na kupelekwa Wizara ya Uchukuzi, zilibakia Sh252.975bilioni katika kifungu hicho lakini kuna bilioni 100 zimetumika visivyo,” alisema Zitto, ambaye pia ni Mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini (Chadema).

Alisema katika majumuisho ya Bajeti ya wizara hiyo, Dk Magufuli na Dk Mwakyembe wakati huo akiwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Lukuvi walitoa maelezo yasiyo ya kweli bungeni kuhusu fedha.

Alikariri maneno yaliyorekodiwa kwenye Hansard ya Bunge yaliyosemwa na viongozi hao watatu.

“Tunaomba fedha Sh252 bilioni kwa ajili ya kuanzia kazi za ujenzi wa barabara,” Zitto alisema akikariri maneno ya Dk Magufuli wakati anawasilisha bajeti.

“Fedha hizi zitachangia miradi ya wafadhili,” haya yalikuwa maneno ya Dk Mwakyembe wakati akifanya majumuisho.

“Hizi ni fedha kwa ajili ya counterpart fund,” alimkariri Lukuvi wakati akichangia hotuba ya wizara hiyo.

Zitto alisema CAG alihoji mwaka huu kuhusu matumizi ya fedha hizo na alitoa taarifa akidai kuwa fedha hizo zilikuwa miradi hewa na kasma kivuli.

Zitto alisema kuwa Dk Magufuli na Katibu Mkuu wake walipohojiwa walidai kutumia fedha hizo kulipa madeni.

“Kwa nini mlidanganya Bunge? Mliomba fedha za kuanza miradi maalumu. Hamkuomba fedha za madeni. Kwa nini mliunda kasma kivuli na kuifuta baada ya pesa kulipwa?” Zitto alimhoji Balozi Mrango.

Katika majibu yake, Balozi Mrango alisema kwa nia njema, fedha hizo zilitumika kuwalipa makandarasi waliokuwa wamechachamaa, huku baadhi yao wakisisitiza kusitisha kuendelea na miradi. Hivyo wakalazimika kuomba fedha kwa njia hiyo ili miradi kuendelea katika maeneo mbalimbali ya nchi.

Zitto hakuridhishwa na majibu hayo akisema hapakuwa na haja ya kutumia fedha hizo kuwalipa makandarasi wakati kulikuwa na kasma yao ya awali. Alisema kama kulikuwa na haja hiyo, wizara isingeita mradi rasmi.

“Jambo hili siyo sahihi hata kidogo kulidanganya Bunge na hadi sasa wewe na waziri wako hamuonyeshi kukubali kosa hili, hata Waziri Lukuvi naye alisisitiza bungeni kwamba fedha hizo zinaombwa ili kutekeleza mradi maalumu lakini sasa imebainika sivyo, kwa mujibu wa Kanuni za Bunge tutawafikisha kwenye Kamati ya Maadili ili wahojiwe nao wajieleze kwa kulidanganya,” alisema Zitto.

Pia kamati hiyo imeitaka wizara hiyo kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu matumizi ya Sh100 bilioni zilizotumika kinyume na maombi yaliyowasilishwa kwenye Bajeti ya mwaka huo wa fedha.

CAG ameshauri madeni yote ambayo Wizara ya Ujenzi inadaiwa yaorodheshwe ili yawe wazi kuepuka migongano katika matumizi ya fedha.

Alipoulizwa kuhusu madai hayo, Lukuvi alisema haelewi chochote na kusisitiza kuwa akipata taarifa rasmi za Kamati ya PAC, atatoa ufafanuzi.



Halmashauri zinavyotafuna mabilioni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAACc), imeeleza namna mamilioni ya fedha za Serikali zinavyoibwa kutoka Hazina kupitia halmashauri za wilaya huku Ilala ikitajwa kuongoza kwa ufisadi huo.

Mwenyekiti wa LAAC, Rajab Mbarouk Mohammed aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba Hazina imekuwa ikipeleka fedha kwenye halmashauri zikiwa zimezidi na kwamba kiasi kinachozidi hakirudishwi badala yake huliwa.

Alisema kamati hiyo imefanya uchunguzi kwenye halmashauri 43 na kubaini kwamba mtindo huo ndiyo unaotumika kuiba fedha za Serikali.

“Mwaka 2011/12 kiasi cha Sh1.5 bilioni zilipelekwa zikiwa zimezidi kwenye halmashauri hizo lakini hazikurudishwa Hazina kama inavyoonyesha kwenye ripoti ya CAG.

Alisema kati ya kiasi hicho, Halmashauri ya Manispaa ya Ilala ilipewa ziada ya Sh213 milioni ikifuatiwa na Geita iliyopewa Sh129 milioni.

“Fedha hizo za mishahara zilipelekwa kwenye halmashauri hizo na Hazina kimakosa zikiwa zimezidi lakini watendaji wa hawakuzirudisha kama wanavyotakiwa kisheria badala yake zikayeyuka,” alisema.

Mwenyekiti huyo alisema kuwa uchunguzi huo pia ulibaini kwamba katika halmashauri hizo 43 kiasi cha Sh693 milioni hulipwa mishahara hewa ambayo wafanyakazi wake walishakufa na wengine kustaafu.

Alisema Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema ililipa mishahara hewa yenye thamani ya Sh79.4 milioni ikifuatiwa na Ukerewe iliyolipa Sh57.5 milioni.

Kwa upande wa fedha za miradi ya maendeleo, mwaka 2011/12, Hazina ilipeleka katika Halmashauri ya Mbarali, Mbeya Sh724 milioni kwa ajili ya Mradi wa Maendeleo ya Elimu Sekondari wakati mradi huo ulikuwa ukihitaji Sh70 milioni tu.

“Kiasi cha Sh654 milioni zilipelekwa kimakosa na Hazina lakini badala ya kurudishwa zilitumiwa katika mazingira ya kutatanisha,” alisema.

Alisema Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe ilipelekewa ziada ya Sh500 milioni na Mvomero ilipewa Sh85 milioni. “Kuna mtandao mkubwa wa Hazina na halmashauri ambao ukiachwa utaendelea kupoteza fedha nyingi za walipakodi,” alisema.

Wednesday, August 21, 2013

Serikali yakanusha kuwa Mama Salma Kikwete si Mnyarwanda na wala Kikwete si shemeji yao



Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye mtandao wa News for Rwanda na  wanyarwanda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni shemeji wa aliyekuwa Rais wa Rwanda Juvenal Havyarimana.

“Taarifa hizi haina ukweli wowote na zinalenga kumpaka matope Rais Jakaya Mrisho Kikwete,” amesema Mwambene na kufafanua kuwa lengo la mitandao ya kijamii ni kuhabarisha na kuelimisha umma wala siyo kupotosha jamii kwa kuandika habari zisizo na ukweli wowote.


Madai  hayo  yaliandikwa  jana  na  mitandao  ya  Rwanda  wakidai  kuwa  mama  Salma  Kikwete  ni  Mnyarwanda  na  ni  binamu  wa  aliyekuwa  rais  wa  zamani  wa  Rwanda.

Mtandao wa Kagame wadai kuwa Mama Salma Kikwete ni Mnyarwanda

 
 Mtandao  wa  News  of  Rwanda  umeendelea  kutuchokonoa  watanzania  ili  kuupima  msimamo  wetu.....

Baada  ya  kukurupa  na  madai  kwamba  Rais  Kikwete  si  mtanzania  halisi  na  kwamba  ni  mtu  mwenye  asili  ya  Burundi, mtandao  huo  umekuja  na  kioja  kipya....

Taarifa  iliyotolewa  jana  tarehe  19/08/2013  na  mtandao  huo  inadai  kwamba  mke  wa  Rais  Kikwete  aitwaye  Mama  Salma  Kikiwete  ni   mnyarwanda   wa  kabila  la  wahutu ( mhutu )..


Katika  maelezo  yake, mtandao  huo  umeenda  mbali  na  kudai  kuwa  Mama  Salma  Kikwete  ni  binamu  wa  rais  wa zamani wa Rwanda, Juvenal Habyarimana  na  ndo  maana  rais Kikwete  alitoa  ushauri  wa   mazungumzo  ya  amani  kati  ya  Kagame  na  waasi....
.............................................................
HII  NDO  POST  YAO  WALIYOTOA
---------------------------------------------
New details obtained by News of Rwanda may give insight into why Tanzania’s President Jakaya Kikwete came out as the sole global leader sympathetic to Rwandan FDLR rebels based in DR Congo jungles since 1994.


According to secret US State Department cables published by whistle-blowing site Wikileaks, President Jakaya Kikwete’s wife fondly known in Tanzania as “Mama Salma Kikwete” is a cousin of former Rwanda leader Juvenal Habyarimana. The shocking details are contained in a cable sent to Washington on Thursday May 5th, 2005, by Shabyna Stillman, a senior diplomat at the US embassy in Dar es Salaam.


The US embassy was giving update on the selection of Mr Jakaya Kikwete to be the CCM flag-bearer in the presidential election late that year. “For years, observers of the Great Lakes conflicts have considered Kikwete to be virulently pro-Hutu,” reads the cable, in part.


“Kikwete’s marriage to a cousin of former Rwandan President Juvenal Habyarimana may have fueled these rumors, which are now fading as the Burundi conflict winds down,” adds the cable, signed by Stillman.


According to the US embassy, Mr Kikwete’s love affair with “Hutus” could be seen in his spirited support for Burundian rebels at the time fighting former President Pierre Buyoya.


Since 1995, up until 2005 when Mr. Kikwete was foreign affairs minister of Tanzania, rumours have swelled around him suggesting he sided massively with the ethnic extremist establishment. It is this system that planned and executed the genocide against Tutsis in 1994, and fled across to Zaire and other parts of the world.


It is alleged, around 1996, Mr Kikwete suggested publicly that “Hutus” need to be armed to fight off the government in Kigali at the time. A book published by virulent critic of President Paul Kagame and historian GĂ©rard PRUNIER writes that Tanzania did offer to train troops for Seth Sendashonga.


A former leader of the Rwanda Patriotic Front (RPF), for whom he was a minister in the government set up after the rebel movement’s victory over the army and the militias responsible for the genocide in 1994, Mr. Sendashonga was murdered in Nairobi, Kenya, on 16 May 1998 by, according to PRUNIER, “unknown assailants.”


Fast forward to May 26, 2013, President Jakaya Kikwete goes public with a suggestion that the government of President Kagame in Rwanda negotiates with rebels of the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR). The group was formed in May 2000, but its members had been roaming DRC forests ever since they lost power in Kigali.


The suggestion by a head of state of Tanzania, a country that had long been considered a friendly nation to Rwanda, caught many by surprise. Since then, the two countries are embroiled in a bitter war of words.


The ex-Rwandan Juvenal Habyarimana died on the evening of April 6th, 1994, after his plane was shot down by extremist members of inner circle who did not want the peace talks with the RPF rebels. In the same plane was Burundian counterpart Cyprien Ntaryamira and French pilots.


The death of the French crew has been the centre of legal battles in France and the United States. A French judicial inquiry did confirm that the plane was brought down by a missile fired from a military camp next to Habyarimana’s home near the airport.
 ---------------