Jeshi
la polisi kanda ya Dar es Salaam linadaiwa kumtia mbaroni msanii
anaetuhumiwa kupiga picha chafu na wanawake mchanganyiko wakiwema mamiss
maarufu na baadae kusambaza kwenye mitandao yote ya kijamii pamoja na
kuripotiwa kwenye magazeti mbalimbali
Mwandishi
wetu amefanikwa kuzinasa picha za Manaiki akiwa chini ya ulinzi
wa polisi huku akiwa amevishwa pingu na kurukishwa kichurachura.
Habari
za uhakika zilizonaswa zinasema kuwa msanii huyo alikamatwa siku
chache baada kuvuja kwa picha zake za aibu zikimuonesha akiwa na
wanawake tofauti tofauti
No comments:
Post a Comment